Sunday 3 February 2013

Mwanafamilia mwingine wa Nyerere ajiunga CHADEMA?


Francis Joseph Nyerere, ambaye ni mtoto wa mwisho  wa Mzee Joseph Nyerere, amepandisha bendera ya Chadema nyumbani kwao, Mwananyamala jijini Dar es Salaam, kama inavyoonekana katika picha hii ( wa kwanza kushoto mwa bendera)

Inasemekana Francis anaungana na ndugu yake Vincent ambaye ni mbunge wa Musoma Mjini (Chadema).

0 maoni: