Naombeni ushauri kwa jambo hili, Mimi ni kijana wa miaka 25, kila nikiwa faragha na mpenzi wangu napiga magoli kuanzia 5 hadi 9 kwa usiku mmoja na yote yanakuwa magoli ya ukweli! ila sasa inaonekana imeshakuwa kero kwa mwenzangu analalamika kuwa anachoka sana kiasi cha kuhisi kuzimia nifanyeje ili nipunguze idadi? na je hakuna madhara yoyote kwangu na mpenzi wangu?
Uncle R
0 maoni:
Post a Comment