Friday 8 February 2013

Baada ya MWISHO na MERRY , sasa ni zamu ya PREZZO na GOLDIE

Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali nchini Nigeria,Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini kenya  Jackson Makini al maarufu  Prezzo anatarajia kufunga ndoa na mwanamuziki wa Nigeria Goldie February 9.

Prezzo na Goldie walikutana ndani ya jumba la Big brother  mwaka jana wakati wawili hao wakiwakilisha nchi zao, habari za kutaka kufungwa kwa ndio hizo zimeonekana pia kwenye mtandao wa Big Brother Africa, harusi hiyo imepagwa kufanyika nchini kwa bi harusi katika  jijini la Lagos, Nigeria.


Kama ndoa yao itafungwa kweli basi itakuwa ndoa ya pili kama zao la jumba hilo baada ya Mshiriki wa Tanzania Mwisho Mwampamba kumuoa  mshiriki mwenzake Merry


Angalia baadhi ya picha zao hapa chini walizopiga pamoja wakiwa kwenye jumba la Big brother







0 maoni: