Wednesday 20 February 2013

Baada ya kutoka CHADEMA na Kuhamia CCM Juliana Shonza aanza kumlipua Mbowe!

Freeman Bowe

Juliana Shonza 

Katika hali isiyotarajiwa hivi karibuni akiwa katika mahojiano na Radio Uhuru FM aliyewahi kuwa kiongozi wa juu wa Vijana chama cha CHADEMA ambaye kajiunga na CCM Juliana Shonza  alisema kuwa  "Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne)akimaanisha elimu ndogo kupita wote, hakuishia hapo Juliana Shonza alionyeshwa kushangazwa wakati wa mahojiano  na kusema kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

!!!!!!!!!!?????????

0 maoni: