Sunday 3 February 2013

Ajali angani?


Kweli duniani kuna vituko!! watu hawa picha inasemekana walianguka  karibu na kituo cha  Polisi cha wilaya ya Monyoni mkoani Singida  baada ya kuanguka na  ungo  waliokuwa wanatumia kama usafiri kutoka kijiji cha Kinika kata ya Mkwese wilayani Manyoni kuelekea mkoani Mbeya..

0 maoni: