Tuesday 22 January 2013

Wema Sepetu full vituko ... baada ya kununua gari asema Mnaonichukia kazi mnayo!



Wema sepetu

gari wema 2
Hivi sasa mambo yote ni kwenye Instagram... Wema Sepetu huu mwaka wake  kila siku anaibuka na jipya! baada ya kumuonesha mtoto wake wa kwanza(Vanny) sasa kaja na lingine .................... Gari ya ukweli aina ya Audi Q7 inayokisiwa kugharimu zaidi ya milioni 70 za kitanzania! Hivi karibuni Wema amelinadi gari lake hilo  kwenye ukurasa wake wa  Instagram na kuiita "My baby da beach"  inasemekana kuwa hata Meneja wake  Martin Kadinda kalifagilia sana hilo gari kiasi cha kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa 'maisha sio manhattan…..You can creat your own Manhattan in Tz… Hata kama ni Ya muda mfupi… 

1 maoni:

MGOBASA DIGITAL STUDIO said...

hongera dada mtu afaliwa na chake ila binadamu shida ukipata watakusema na ukikosa watakusema ila mungu ndio kila kitu