Tuesday 22 January 2013

Baada ya kufunga ndoa kimyakimya sasa Rais wa Masharobaro aitwa baba...



     
Rais wa Masharobaro  aka BOB JUNIOR (pichani)   amekuwa mtu wa furaha toka jana baada ya my wife wake kujifungua mtoto wa kiume na kumfanya aheshimike na kuitwa baba....  Inasemekana Bob Junior kaamua kumpa mtoto huyo jina la baba yake mzazi  Rummy Raheem Rummy a.k.a Triple R.

0 maoni: