Wednesday 9 January 2013

Wachina wanaongezeka DAR kila siku kulikoni?

Siku za hivi karibuni eneo la uwanja wa ndege kumeonekana ndege zikishusha raia wengi wa kichina kiasi cha kufikiri Bongo imegeuka beijing!! kuna ndege aina ya boeng ilijaa wachina zaidi ya mia mbili kama wanavyoonekana katika picha hii!!!! je wamekuja kwa visa ipi? utalii? kazi? au?

Inabidi serikali iangalie upya suala la kupata vibali kwani  kwenye chini yao kupata vibali vya kibiashara  imekuwa ngumu sana kutokana na taratibu walizoweka , sasa inakuwa vipi kwetu waingie kirahisi? kwanini na sisi tusiweke mazingira magumu wao kuingia nchini kufanya kazi ama biashara?

0 maoni: