Monday 31 December 2012

Sikwenda AFRIKA YA KUSINI Kujiuza!!!!!!!!!

MSANII wa filamu Bongo, Jaji Khamis ‘Kashi’ amesema hakwenda nchini Afrika Kusini kujiuza kama ambavyo watu wasiopenda maendeleo yake wanamzushia. Akichonga na moja ya gazeti la Global publisher  hili juzikati, Kashi aliyekuwa nchini humo alisema amekwenda kwa shughuli zake za kibiashara na kazi zake za filamu na si vinginevyo. “Sijaenda Sauzi kujiuza kama baadhi ya watu wanavyozusha, nimeenda kwenye shughuli zangu za kibiashara na dili za kazi za kisanii, mashabiki wangu wakae mkao wa kula kwani mwakani nitakuja na vitu baab’ kubwa,” alisema Kashi.

0 maoni: