Sunday 16 February 2014

Emanuel Eribarik ‘Nay wa Mitego’ akiwa na Mbongo Muvi, Fatuma Ayubu ‘Bozi’.
PICHA za mkali wa Hip Hop Bongo anayesumbua na wimbo wa Nakula Ujana, Emanuel Eribarik ‘Nay wa Mitego’ akiwa na Mbongo Muvi, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ katika pozi za kimahaba zimenaswa. Baada ya picha hizo kutua mikononi mwa paparazi wetu, alimtafuta Nay wa Mitego ambaye inafahamika na wengi kuwa mpenzi wake ni binti aitwaye Siwema, alipopatikana aliumauma maneno lakini kwa upande wake Bozi, bila hiyana alifunguka:“Siwezi kubisha hata kidogo nampenda sana huyu mwanaume (Nay) hata aende wapi atarudi hapa, huyo Siwema hawezi kunikondesha, siwezi kumwacha huwa nalala kwake napika na kupakua,” alisema Bozi.

Kwa hisani ya GPL

0 maoni: