Friday 18 October 2013

Zawadi NONO itatolewa ukifanikisha kukamatwa kwa hawa watu.....

Watu hatari wanatafutwa na Jeshi la polisi,zawadi nono itatolewa kwa yeyote atakaye fanikisha kukamatwa kwa watu hao. Toa taarifa Kituo chochote cha Polisi karibu yako au kwa kupiga simu Makao Makuu ya Polisi kwa kutumia simu namba 0754 7855 57.

0 maoni: