Friday 26 April 2013

ISHA MASHAUZI atuhumiwa kuiba pochi yenye zaidi la laki 7

Msanii aliewahi kuchukua tuzo mwaka jana kwa umahiri wake wa kuimba vizuri mziki wa taarabu, Isha Mashauzi,wiki  hii kupitia u heeeeard na Gossip Cop Sudy Brown, ametuhumiwa kuiba pochi la mwenye duka maeneo ya Kariakoo, na huku ikisemekana pochi hiyo ilikuwa na mkwanja wa mauzo, shilingi 758,000.



0 maoni: