Saturday 19 October 2013

People change! Soma maneno aliyoandika Msanii LULU kwenye mtandao wa kijamii

Jela kweli pamembadilisha LULU, soma hichi alichokisema kuhusu Babu seya na mwanaye
“Ninaamini Mungu yupo...anasikia,anaona na ndiye mwenye kuhukumu kwa Haki...!!!!Dua zangu ziko pamoja na Mzee Nguza na Papii Kocha...!hakuna linaloshindikana mbele ya Mwenyezi Mungu...Kama anaweza kutoa Jaribu basi yeye pia ndo mwenye Uwezo wa kufanya Njia ya kutoka ktk jaribu Hilo...!Mwenyezi Mungu awasimamie katika rufaa yenu...!AMEN”

0 maoni: