Friday 4 October 2013

Mvua yaleta kizaazaa.... Angalia movie hii

Picture
Safari ilianza hivi kiasi cha kila mtu kufurahi.....

Ajali ajali.......

Acha kibao kimgeukie kaka wa watu ..... nahisi biashara iliishia hapa

Pamoja na yote Kaka wa watu alimsaidia  mteja wake......

Kwa hasira dada wa watu aliihia kulia...

0 maoni: