Sunday 20 October 2013

Kuna ukweli wowote katika hili?kifo cha Mushi wa Ufoo mambo mapya

Picture
Mushi was a very humble guy amekufa kisa kuwa taken for granted, kumbe Mwanamke kaachiwa nyumba, magari etc zote kabadili majina kaweka jina lake....na katembea na mwanaume mwingine in his house ambayo kaibadili jina Kumbe jamaa kafunga cctv baada ya kuhisi mwanamke anacheat. Alikua anafanya kazi mbaya mnooo....na this year amepata transer from jan angekua nairobi Ameaccumulate funds for 6years Alikua ananunua vifaa vya kufungulia studio anaweka kwa ufoo

Vifaa vya more than one bill Vyote hajakuta hata kimoja...dada akasema mama yake ndio kauza
Naskia alimwambia mtu huyu mwanamke na mama yake nitawakata vipande vitatu kila mmoja....
Hela kaipata kwa shida mnoo na kila siku anasema walikua wanazika huko sudan
Mtu ukipitisha siku unashukuru hawalali usiku kwa kuogopa kuuwawa...imagine for all those years
Na he was the kind of man anaependa mtu mmoja tu na hajawai kua na mwanamke mwingine, walikw na nyumba separate, ufoo ya hapa dar na mushi ya arusha
Alivyoenda sudan, ufoo akabadilisha jina ile house ya arusha ikaread jina lake
Sasa kukawa na plot ingine hapa ya kujengwa ambayo ni hy anayokaa mama...mushi wakat house inajengwa anatumiwa photos za progress
Kurud kumbe hola akauliza mama kamjibu 'nyumba ni ya alvin, ww huna kitu labda vihela vidogo tuuu visenti, fanya ufanyalo'
Ndio akafungua bag akatoa pastola ndio akaanza kuwashoot
Sasa kaeni mkao wa kujua hy mwanaume mwingine ni nani........mtachokaaaaa...... ....mwanaume mwenyewe ni Zitto Kabwe


Kwa hisani ya "B"

Stay tune.............

0 maoni: