
Baada ya kuwa na BIFU kwa muda mrefu hatimaje Kipenzi cha wengi (20% na producer wake Man water ) waamua kufunika kombe na mwanaharamu apite..... Leo ndani ya ofisi za kituo cha Radio cha Magic FM wawili hao wamemaliza tofauti zao na kuahidi kufanya kazi pamoja kama zamani
0 maoni:
Post a Comment