Thursday 12 September 2013

Diamond aweka wazi Kuhusu tuhuma za kuiba Chorus , kuiba beat na kumpa Mimba mwananfunzi......

Diamond Platnumz kupitia kipindi cha XXL cha Clouds amefunguka  na kuweka bayana majibu yote ya tuhuma zinazomkabili ikiwemo ya Dayna Nyange kudai kuwa alitumia beat ya wimbo wake kurekodi wimbo wake wa Number 1 na pia tuhuma iliyotolewa na Baba Levo kuwa  Diamond alimuibia chorus ya wimbo wake,
na kama haitoshi Dimond pia amezungumzia kashida yake ya kumzalisha mwanafunzi wa sekondari na kumtelekeza ....... Msikilize hapa akijibu.


0 maoni: