Wednesday 21 August 2013

Picha za Uchi zamtokea puani



Mrembo huyo aliyeshiriki Shindano la Miss Utalii 2013, Fathiya Khalfan amepigwa na mchumba’ke huyo anayeishi naye maeneo ya Buza jijini Dar (jina halikupatikana) hadi kuponea chupuchupu kupoteza uhai. Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa miss huyo, mchumba’ke amedai kuwa kitendo chake cha kupiga picha hizo kimewadhalilisha wote wawili.



Hata hivyo, haijajulikana kama uhusiano wa wawili hao unaendelea kuwa hai au umeishia hapo. Risasi Mchanganyiko limefanya jitihada za kumsaka miss huyo ambaye anadaiwa kuendelea vizuri ili kupata ukweli zaidi lakini mara kwa mara amekuwa akipiga chenga.


Kwa hisani ya GPL

0 maoni: