Monday 12 August 2013

Ney wa Mitego ammwaga mpenzi wake?

Msanii wa Bongo flava asiyeogopa kitu hasa kwenye kuongea neno Emmanuel Munisi aka Ney wa Mitego jana  kupititia mitandao ya kijamii aliacha ujumbe wa utata ambao unahisiwa kama wa ukweli......alianza  kwa kuandika ujumbe huu: Sasa mapenzi basi# by diamond Platnumz..!! Single boy# Ally Kiba#966’

Baada ya muda kidogo aliandika tena:  "Niko ivi,,, nikikupenda nakupenda kwa asilimia 100# na kila m2 atajua juu ya upendo wangu kwako..!! Bt ukizingua nakuacha na ninakusahau kwa asilimia 200# na kwa muda mchache 2. "Nikiamua huwa sirudi nyuma..!!# Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake ye mwenyewe# by Linex.#966’

0 maoni: