Tuesday 6 August 2013

Kutoa ni moyo..............Tafadhali saidia familia hii

Mama wa watoto watatu ambao mara nyingi huonekana katika jiji la Dar es Salaam aitwaye Sophia Abdallah maarufu kwa jina la Mama Watatu anaomba msaada aweze kuwatunza wanaye. Mama huyu anasema kuwa hana uwezo wa kuwatunza watoto wake baada ya baba yao kufariki. Mama Matatu ana watoto wanne kati yao watatu wana matatizo ambao ni Ausi, Hidaya na Mosha. Pindi apatapo fedha, Mama Watatu urudi nyumbani kwao Mtwara maana kule maisha ni nafuu kuliko mjini.


Picha zaidi hapa chini




Kwa hisani ya Joan Lema na Martha Mboma/ GPL


0 maoni: