DIAMOND: Sina mapenzi tena na WEMA SEPETU
MSANII anayekimbiza katika anga za Muziki wa Kizazi Kipya, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' leo amefunguka kuwa hana tena mapenzi na aliyekuwa mpenzi wake, mrembo Wema Isaack Sepetu. Akihojiwa na Zamaradi Mketema katika kip…Read More
FA & JAYDEE waahirishwa show zao kutokana na kifo cha Magwea...
KUTOKANA na habari za kufariki kwa Albert Mangwair ‘Ngwea’, msanii ambaye ni mmoja kati ya wana Hip Hop maarufu nchini, Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ ametangaza kuahirisha shoo yake ya The Finest iliyokuwa ifanyike leo (Ijumaa).…Read More
0 maoni:
Post a Comment