Thursday 27 June 2013

JUMA KASEJA huru kutafuta timu nyingine .....................SIMBA SC waachana nae

TIMU ya Simba SC jana imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma Kaseja. Simba SC kupitia kwa Mwenyekiti wake wa Kamati ya Usajili, Zacharia Hans Pop, umetangaza kuachana na kipa huyo ambaye ni nahodha wa Timu ya Taifa, Taifa Stars.
Kaseja ambaye ameipatia mafanikio mengi Simba amemaliza mkataba wake na timu yake hiyo ambayo imemwambia yupo huru kutafuta timu nyingine.

Kwa hisani ya GPL

0 maoni: