People's Magazine
The place where you can find everything...
Home
Wednesday, 15 May 2013
Home
»
Celebrities News
,
OMG
» Namfuata MWISHO Namibia
Namfuata MWISHO Namibia
By
Unknown
12:04
No comments
LICHA ya Mwisho Mwampamba kuwa mume wa ndoa wa Meryl Shikwambane, msanii wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha amesema anajiandaa kwenda nchini Namibia wanapoishi wanandoa hao kwa lengo la kujumuika na Mwisho na kula bata.
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko jijini Dar es Salaam, Baby alisema bado ana uhusiano wa kimapenzi na Mwisho na kwamba yeye ndiye alimwalika aende Namibia wakafurahie penzi lao.
“Nakwenda Namibia kwa Mwisho wangu. Simwogopi huyo Meryl, kwanza yeye ndiye aliyeingilia penzi langu. Mimi ndiye wa kwanza kuwa na Mwisho, hivyo ni halali yangu.
“Mwisho mwenyewe ndiye aliyeniambia niende na amesema nitafikia hotelini, nitafurahi naye kwa muda wote nitakaokuwa huko, mambo mengine mwenyewe ameshayapanga na atajua cha kufanya.”
Kwa hisani ya GLP
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Categories:
Celebrities News
,
OMG
← Newer Post
Older Post →
Home
View mobile version
0 maoni:
Post a Comment
Social Profiles
Popular
Tags
Blog Archives
Search this Blog
Kim Kardashian is pregnant and proud as she shows off her growing bump in a bikini on sunshine break
Ukitaka kuwa maarufu BONGO lazima uwe hivi?!!
Jamani msiojua kuandika barua ya Uchumba deseni hapa .....
Mume wa marehemu Whitney Houston afungwa....
Kujua ukweli fungua hizi link - Bobby Brown Bobby Brown Pleads Not Guilty to DUI #3 Bobby Brown -- Considering Rehab After DUI Ar...
WEMA SEPETU amfikisha POLISI MAMA yake mzazi baada ya kumfanyia fujo nyumbani kwake
Hips dont lie star (SHAKIRA) ala bata na baba watoto wake
The 10 Best and Worst of the BET Red Carpet
We’ve been seeing a lot of Clover Canyon’s kaleidoscope Givenchy-esque prints. Jordin looked amazing in a summer palette and white pumps....
Graca, Winnie Mandela ni mtu na ‘dada yake’
Winnie Madikizela-Mandela, (77) aliinama kumbusu Graca Machel (68), kabla ya kukaa katika kiti cha tatu kutoka kile alichokalia mwanamke...
Unajua madhara ya kuzamia nchi za watu? Angalia hapa .......
PROFESA LIPUMBA awachana CHADEMA na kudai ni vinara wa vurugu na hawana HOJA
Chama Cha Wananchi (CUF), kimesema vurugu zinazoendelea bungeni zinasababishwa na Kambi Rasmi ya Upinzani inayoongozwa na Mwenyekiti w...
Powered by
Blogger
.
My favorite News blog
Loading...
Celebrities Gossip
Loading...
.
Tags
Afya
(116)
Broken heart stories
(1)
Celebrities kids
(18)
Celebrities News
(783)
Children
(4)
Death Anouncement
(1)
Dini
(27)
Elimu
(5)
Extraordinary People
(12)
Familia
(26)
Full aibu
(87)
General
(20)
Karibu Jamvini
(1)
Katuni
(11)
Kazi za Jamii
(3)
Magazeti pendwa
(228)
Mahusiano
(281)
Majanga
(16)
mambo ya kuiga
(3)
Mapishi
(2)
Michezo na Burudani
(49)
Mikasa ya Maisha
(2)
Mila na desturi
(14)
Moyo Mpweke
(3)
Msaada kwenye tuta...
(10)
Nyumba
(28)
OMG
(476)
OMG... Black are beautiful
(10)
Picha huongea
(25)
Sayanzi na Tekinolojia
(3)
Siasa
(82)
Tangazo
(2)
Tiba Mbadala
(4)
True story
(77)
Ugaidi
(1)
Ukatili
(55)
umaarufu kazi
(28)
Urembo
(20)
Video
(10)
Vipaji
(3)
Vituko mtaani
(164)
Vivazi na Mitindo
(171)
Wanaume
(32)
Wanawake
(121)
0 maoni:
Post a Comment