
Hii ndio Hospitali ya St Hellen Joseph, mwili wa marehem Albert Mangwea ulipohifadhiwa


Watanzania wakiongozwa na Kinjeketile Ngombale Mwiru wakitazama aina ya majeneza mbalimbali wakati wakati wakifanya uchaguzi lipi linunuliwe. Inasemekeana gharama za jeneza na kusafirisha mwili zitagharimu shillingi Milioni 4.5 za Kitanzania

Millard akifanya mahojiano na mmoja wa watanzania walioko Soth Africa

Millard Ayo akifanya interview na mmoja wa Watanzania nje ya hospitali alikolazwa M2TheP.
Siku ya tarehe 23 mwezi wa kwanza, Izzo B alikuja ndani ya studio za Clouds Fm kwa ajili ya kutambulisha wimbo wake "Ball Player" huku akiwa ameambatana na Quick Rocka na Ngwea..

sikiliza interview yote hapa
Video ya interview hii hapa
0 maoni:
Post a Comment