Sunday 21 April 2013

Watu hawakawii? LOVE on air? KAJALA mapenzi nje nje na Petti Man

Fununu zilianza hapa........

Angalia ujumbe huu.....

Kazi  ipo......
Nice pozi..........

Baada ya kutoka lupango siku si  nyingi  mikao na mapicha za kimahaba kati ya KAJALA na  anayayezaniwa kuwa baby wake (PETTI MAN) zasambaa kwenye mtandao wa jamii wa mbalimbali ikiwemo Blogs na Instangram......  kupitia  Instangram imegunduliwa kuwa wawili hao design ni wapenzi   na hii imetokana na kila picha kutumwa kwa maneno baby baby................

........................Kweli mapenzi  hayana experience................ mara hii KAJALA kashamsahau mumewe aliyekuwa namsifia kila kona?

0 maoni: