Sunday 28 April 2013

Tanzania yaanikwa peupe Marekani





Haya ni baadhi ya machapisho kama yalivyoonekana kwenye mji wa Washington DC katika mtaa wa colombia na 18 street (Adams Morgan)  Machapisho hayo kama yanavyoonekana pichani yalikuwa na picha Marehemu Daudi Mwangozi,mauaji ya morogoro,mauaji ya  Songea,na Arusha.

0 maoni: