Thursday, 4 April 2013

Mume wangu anakesha ila hapandishi........ je ni hali ya kawaida au kuna tatizo plsssss nisaidieni

making love photo: MAKING LOVE 477485836612e9beba494f4b0ed81e8b.jpg
Habari zenu  marafiki!
Naitwa dada T   naishi  Arusha, Nimeolewa   miezi mitano iliyopita..... Maisha yangu ya kimapenzi na mume wangu ni mazuri na ndoa na  mihemko bado iko juu ila shida yangu kubwa ni hii... Mume wangu toka anioe amewahi kufika kileleni mara moja tu  kipindi cha Fungate , ila baada ya kurudi nyumbani hadi leo hajawahi kufika kileleni tena! binafsi nimeanza kukosa raha na amani na kila nikimuuliza na yeye anasema hajui..... Wasiwasi wangu ni habari ya uzazi si unajua watu wengi tunategemea ndoa ikifungwa majibu yawepo....... (WATOTO) cha ajabu anaweza akapanda kifuani hadi kuna asubuhi ila il habari ya mambo fulani ndio hakuna 
Pls Pls nisaidieni mwenzenu.... Nini taztizo, linasababishwa na nini?  Je kuna dawa?

1 maoni:

Anonymous said...

POLE SANA DADA INAONEKANA WAZI UNAIPENDA NDOA YAKO CHAKUFANYA HEB JTAHD KUMSHAWISH MME WAKO MWENDE KWENYE HUDUMA ZA AFYA MAANA KUNA VSABABSH VNG VYA TATZO HLO NA MKIENDA HSPTAL MTASAIDIWA