Sunday 28 April 2013

Kuna ukweli wowote kwenye hili?

Yaani huku duniani kuna vituko kweli........ binafsi  nashindwa kuelewa kabisaaa hili suala....... ni kwanini Wanawake wengi  wanapenda watu wanaodrive magari? unajua sometimes inachekesha  sana utakuta Mwanamke akitongozwa na mwanaume asiye drive inakuwa shida na mizungushano kibao, ila akitongozwa na mwanaume anayedrive  aaaaaah haichuki round  utaona full malovedaviiii mameseji ya mapenzi kibao mara ooog Baby I love you oooh mara Baby i miss you, mara when are going to pick me ? jamani jamani kwa nini? why? .......

0 maoni: