Tuesday 30 April 2013

Kuna ukweli wowote katika hili? Chadema wagawa 300,000/- kwa kila mwandishi!


CHADEMA wanahaha kugawa pesa kwa kila mwandishi hapa Dodoma Bungeni ili kubeba stori itakayosomwa na Mchungaji Msigwa kesho kwenye hotuba yake yenye kurasa 42 ambayo toka ukurasa wa kwanza mpaka ukurasa wa 42 amemtaja Kinana kama kiongozi wa genge la majangili wanaovuna meno ya tembo nchini.  Kwakweli kilichonistua ni wingi wa pesa inayotumika kusambazwa kwa waandishi ili kuandika hii stori!

Kwa hisani ya JF

0 maoni: