Friday 8 February 2013

Mtoto wa KIGOGO live Guest House na Mume wa mtu

MTOTO wa kigogo wa kibongo aliyepata kuwa mbunge wa jimbo moja jijini Dar es Salaam (jina kapuni) aliyetajwa kwa jina moja la Happy, amenaswa gesti akiwa na Muddy aliyedaiwa kuwa ni mume wa mtu..... 

Wambeya wa mji tumenyetishwa kuwa  binti huyo alibambwa akifanya  kitendo hicho cha aibu hivi karibuni maeneo ya Sinza kwenye nyumba moja ya kulala wageni ambayo jina lake limewekwa kapuni
 “Alianza kutembea na mume huyo wa mtu kwa muda mrefu, kosa alilofanya ni kupiga picha chafu kwa kutumia simu yake,” chanzo kilianika mkasa.

0 maoni: