Tuesday 22 January 2013

SINTA na RAYUU ndani ya bifu zito.....

Ugomvi kati  ya wasanii  wa  kibongo maarufu kama  sintah  na  Rayuu  sasa umechukua  sura  mpya  baada ya  wasanii hao  kuanza kulumbana upya na kuumbuana kiasi cha kutoleana maneno yasiyofaa.....

Kisa  kilianza  mwaka jana  baada  ya  Rayuu kusambaza  picha  zake  za  nusu utupu, hali  iliyomkera  sintah  na  kuamua  kumponda.......

Rayuu hakuishia  hapo, mwaka  huu katoa tena  picha zake zikionesha kiuno  chake huku nguo zake za  ndani zikionekana! na baada ya kuona picha hizo Sintah alifunguka   na  kumuita RAYUU  "KUNGURU  ASIYEFUGIKA"....

Baada  ya  Rayuu kuitwa  "kunguru", yeye amemuita  mwenzie"Gubegube  lililoshindikana  tz"......


Hebu angalia majibizano kupitia ukurasa wa jamii wa RAYUU

hii ilitokea baada ya sinta kuandika hivi mtandaoni

HIKI NDICHO  ALICHO KIANDIKA  SINTA  MTANDAONI JUU YA RAYUU

0 maoni: