
Kama unakumbuka siku zilizopita tulichapisha habari zilizohusu sakata kati ya Lady Jaydee kuweka ujumbe katika ukurasa wa facebook na kuomba maoni kutoka kwa wadau wake kuhusiana na Mwinyi (pichani) kurudi katika band yake, sasa hivi karibuni Mwinyi kaibuka na hili !!!! eti ameeleza kwa kusema kwamba hakuwa na ndoto za kurudi katika band hiyo bali ni mama yake mzazi ndiye alimshauri na ndiyo maana ameweza kurudi tena kundini.................
0 maoni:
Post a Comment