Thursday 17 January 2013

Habari ndio hii ..... Hasheem Thabit ni wa Mwenyewe BEE..............






Baada ya kimya kingi na mizusho kibao kuhusu nani  mmiliki wa penzi la Hasheem Thabiti  sasa wambeya wa mujini tumezinyaka hizi ........ Inasemekena kuwa kwa sasa Hasheem yuko katikati ya penzi nono la kimwana mmoja anayejulikana kama BEE Anderson! inasemekana kunwa BEE ni dance  na ameshawahi kufanya kazi na Usher, The Black Eyed peas , David  Guetta na wengine wengi....

0 maoni: