Tuesday 25 December 2012

Mbunge - Sugu ni play boy??


Huyu ndiye mama wa mtoto wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aliyezaliwa hivi karibuni. Jina lake ni Faiza.

Sugu amekuwa akiwachezea na kuwatema kina dada zetu wa kitanzania.....je hii ni sawa kama kiongozi wetu kufanya ivyo..?? vijana ambao ni washabiki wake wanaiga nini kutoka kwake??


Mifano hai
Aliwatenganisha watu waliotoka mbali(Jaffarai & Shyrose) kisha akamtelekeza Shy wa watu....

baadae amemzalisha bila ndoa mwanadada Faiza. sasa akisha mtupa na Faiza sijui ataenda kuaribu wapi!!au ndio anafata nyendo za slaa..??

Kwa hisani ya JF

0 maoni: