Sisi Voice Of Zanzibar tumekuwa tukizungumza mambo mbali mbali ambayo yanatukabili na kutuathiri sisi pamoja na watoto wetu.
Katika siku zilizopita tumezungumzia mambo tofauti kuanzia madawa ya kulevya na athari zake,tumezungumzia udhaifu na kutowajibika kwa viongozi wetu,tumezungumzia kuhusu vijana waache kukaa maskani na kwenda kutafuta vibarua,tumezungumzia kuhusu umalaya na upotoshwaji wa wanawake wadogo na kupigwa picha za uchi na kukashifiwa.
Tunayazungumza haya kwa sababu sisi ni wazalendo,tunaipenda Zanzibar yetu kwa hali na mali,na kila tunachokizungumza hapa basi tunajitahidi kwa uwezo wetu iwe aidha ni ukumbusho kwa ndugu zetu wakaazi wa Zanzibar na kila anaekuja kusoma tunayoyaandika,na pia tunafanya kwa kila hali tunachokiandika kiwe ni elimu yenye manufaa katika jamii.
Matatizo yanayoikabili Zanzibar sasa hivi sio ya kisiasa peke yake bali ni matatizo ambayo ya kijamii na kidini pamoja na kiutamaduni,kwa wale waliokuwa na bahati wanaokumbuka maisha ya wakati uke wa miaka ya mwishoni mwa miaka ya 70 na miaka ile ya 80 mpaka kufikia mwanzoni mwa miaka ya 90 Zanzibar bado neema ilikuwa ipo kubwa,ilikuwa ukienda marikiti basi matunda ya kila aina,inapoingia skukuu nyuso zinakuwa zimejawa na furaha na bashasha lakini leo haya yote yametoka,na hii tukitaka tusitake,ikiwa wewe ni Muisilamu,Mkiristo,Yahudi,Muhi ndi au Bohora basi kuna mambo chungu nzima ambayo yanaendelea wewe hukubaliani nayo,kwa sababu una akili na unajuwa kuwa uchafu umezidi kwa kiasi kikubwa na hii ndio bila ya shaka dhiki,maradhi,umasikini,kuwa na viongozi dhalimu kumeongezeka kwa sababu ya uchafu tunaoufanya.
Leo hapa tumeamua kuuzungumzia ubaradhuli katika visiwa vyetu,ni kweli tatizo hili lipo zamani sana,lakini mabaradhuli wa wakati huo wa zamani walikuwa wakijiheshimu na walikuwa ni watu wazima wenye akili zao na wanaofanya mambo yao kwa faragha na kujificha,zamani ilikuwa ajabu kuwa baradhuli na sisi tulikuwa tukiamini kuwa ukiwa unatoka kwenye nyumba yako na ukimuona baradhuli basi siku yako nzima itakuwana nuksi,hivyo ndivyo tulivyokuwa tukiamini.
leo hii tunashadidia kuona watoto wanaojifanya kuwa wanawake au kushinda kuwa wanawake,na kuna watu ambao wako tunaishi nao katika maskani na majumba yetu amabao tunawajua kuwa ni waharibifu kwa vijana lakini tumewapachika vyeo na kuwaita mabasha na ma Hajji.
Kutana na Hassan Aboud Talib umaarufu Hassan Kiringo, kijana huyo hapo kwenye picha,huyu ni mmoja katika vijana wenye akili ya kuzaliwa,baba yake alikuwa ni waziri kiongozi katika awamu ya pili wakati wa uongozi Aboud Jumbe,huyu ni kijana aliekulia Michenzani jumba nambari tano,alisoma shule ya Vikokotoni,kwa wakati ule ndie aliekuwa mwanafunzi aliepasi vizuri kwa Unguja na Pemba katika kidato cha tatu ndie alikuwa mwanafunzi bora,na kuendelea na masomo yake shule ya Lumumba na kupata divison 1,alisoma PCM form six na hatimae kufutiwa matokeo yake.
Tunayaandika haya na kumtaja Kiringo kwa kutoa mfano wa jamii yetu ilivyoharibika,huyu ni mfanyakazi wa Idara ya mapato kwa hiyo shughuli ya pesa kwake sio kubwa kwani kuchota fesha ya serikali sio tatizo kubwa kwake,ilifikia wakati alikuwa akiwanunulia vijana hadi vespa na kuwanunulia na kumwaga fedhwa za kiwango cha juu ili apate analolitaka kuwalawiti vijana hao,je kweli nani asiemjua kuwa Kiringo alikuwa anakaa kinyumba na mtoto wa kiume kama mkewe pale jumba nambari nne Michenzani,je kweli hakuna anaeliona hili?Na je hujawahi watu kumuona wanachanganyikana nae maskani au sehemu nyengine?Hivyo kweli mtu kama huyu na wenzake wengine ambao wao wamekataa kata kata umbile bora la kike aliloumba Allah na kuchukuwa wanaume na kufata kaumu ya Luti?lakini kwa vile sisi tumeona ni maendeleo basi tunakaa pembeni na kuyatizama haya,Je jiulize kweli kwa hali hii umasikini,ufukara na shida zitaondoka visiwani?Na huyu ni mmoja tu kati ya wengi,kuna Ahmada ambae mkaazi wa Majestic Vuga nyuma pale ya Cinema yeye ndie aliemharibu marehemu Omar Kopa mpaka wakati wa kifo chake,je hili lilikuwa halionekani?na ilikuwa ukipita majestic watu wanakaa nae na kufurahi nae,na baada ya hapo unaelekea msikitini kusali,je nani unamdanganya?unamdanganya Allah au unaidanganya nafsi yako.
Kuna Adolph au Adofu aliewahi kucheza timu ya An Noor ya pale msikiti Barza baadae kucheza timu ya Malindi,yeye huyu mlawitaji mkubwa mno kiasi ambacho hata ndoa alifika kuikataa,watu kama hawa ni waharibifu na wenye laana,inakuwaje mwanamme mzima umuwache mwanamke mwenye umbo la kuvutia ukamtake mwanamme mwenzako?
Kama hatujabadilika na kuzikemea shughuli kama hizi ambazo hata Firauni hakuzifanya basi shida umasikini,ufukara kuwa na viongozi madhalimu kama tunaowaona sasa kutazidi.
Na wanawake nyinyi ndio wenye jukumu kubwa katika kuikuza jamii,na muwache kuchanganyika na mabaradhuli na kucheza nao taarab na vibuki pamoja na wasagaji,maana nyinyi wanawake ndio mnawapa hawa watu hifadhi ya kufanya wale wanayayotaka,inakuwaje mwanamke mzima mwenye watoto unachanganyika na mtoto wa kiume anayejifanya mwanamke na kumwita shoga yako,je angelikuwa mwanao huyu ungemwita shoga au kwa sababu ni mwana wa mwenzako?
Basi acheni mara moja mambo hayo kwani si vizuri na wala haijuzu mbele ya muumba ni uchafu mkubwa kabisa unaoleta dhiki katika jamii.
Vijana usidanganywe ukahadiwa kuwa utanunuliwa vespa au nyumba wewe ni mwanamme na lengo la mwanamme baadae ni kutafuta mwanamke akaowa na sio kutafuta mwanamme akawekwa kinyumba,tutahadharini kwa kila tunalolifanya.
Na nyinyi mwenye tabia ya kuwalawiti wenzenu basi rudini kwa Mola wenu na tubia na wacha mara moja unayoyafanya kwani kumbuka kuwa japo sisi kuwa hatukuoni lakini Mola wetu mlezi anakuona.
Kwenu serikali ijapokuwa tunafahamu kuwa serikali ya SMZ haina dini lakini Raisi na viongozi wana dini na kama mnaamini Uisilamu hata kama mnaamini Ukristo basi ni vyema kulikemea jambo hili kwani kumbukeni kuwa kila mchunga ataulizwa kwa kile alichokichunga,usijione kwamba sasa hivi kuna askari na vimuri muri vinakuongoza kumbuka kuwa kila kitu kina mwisho wake.
Kama tulivyosema hapo awali tukiona kuna kitu kinaathiri jamii na kinataka mwamko ili jamii izindukane basi hatutosita kuzungumza na kuandika hapa,kama tunavyofahamu kuwa kuna njia tatu za kuzuia jambo baya,aidha kwa mikono yako,au uliseme au ulichukie ndani ya nafsi yako,sisi VOZ tumeamua kulisema.
0 maoni:
Post a Comment