Katika kuadhimisha miaka 37 ya kuzaliwa kwa CCM baadhi ya wasanii wa filamu nchini wakiongozwa na JB waliamua kuchukua rasmi kadi za uanachama wa chama cha mapinduzi Baadhi ya wasanii hao ni JB, Richie, Irene Uwoya,Hadji Adam, Johari na Amanda poshy.
No comments:
Post a Comment
Toa ushauri wako au andika chochote hapa ... Leave your comment here