1. Unalala vizuri
2. Hujali unavyoonekana
3. Hakuna sms usiku wa manane
4. Unaweza kuongea na yeyote
5. Utaishi maisha marefu bila kubughudhiwa na mtu
6. Utaepukana na fitina za watu
7. Utaepukana na ugomvi usio wa lazima
8. Hutakuwa mwenye kudanganyana
9. Utatulia kimawazo
10. Utajihisi uko huru kwa maamuzi yako
No comments:
Post a Comment
Toa ushauri wako au andika chochote hapa ... Leave your comment here