JACQUELINE WOLPER aijutia historia yake ya mapenzi
DIVA wa kiwango cha juu cha filamu hapa Bongo, Jacqueline Wolper, ameonekana kujutia historia yake ya kimapenzi baada ya kufungukia kitendo cha yeye kumuanika kila aliyekuwa akimpenda kwamba kimemtibulia na sasa amejifunza…Read More
JIDE, RUGE KUMEKUCHA
SAKATA kati ya mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo a.k.a Lady Jaydee ‘Jide’ na Clouds Media Group juu ya kupigana vita kibiashara limechukua sura mpya baada ya mkurugenzi wa vipindi wa kampuni hiyo, Ruge…Read More
0 maoni:
Post a Comment