ZITTO Kabwe amjibu NEY wa MITEGO?
Inawezekana kabisa mitandao ya kijamii (Social networking) na sanaa vikitumika ipasavyo vinaweza kuleta mabadiliko chanja kwenye jamii.... Jaribu kufuatilia baadhi ya majibizano ya Mbunge wa Kigoma kaskazini na wanajamii.......
CarolNdosi @CarolNdosi
I wonder if @zittokabwe ever listens to hip hop..local or international..
“@CarolNdosi: I wonder if @zittokabwe ever listens to hip hop..local or international..” I do. Roma is my favourite followed by Ney
@zittokabwe @CarolNdosi surprising, after everything Nay Wamitego said in his new truck Salam zao ft Neiba Hon: Zitto still ranks him his n2
@SadiqAbdallah @CarolNdosi Ney amefanya sanaa. Nachukua maneno yake kama changamoto. Ni kazi ya Sanaa ninayoithamini sana
No comments:
Post a Comment
Toa ushauri wako au andika chochote hapa ... Leave your comment here