Kitendo cha Mablogger wenzake kurusha picha zake za utata kwenye mitandao ya jamii, Kimemfanya Blogger husika aje juu na kuwaponda wasiozielewa picha hizo na kutetea kuwa sio za uchi na wala haoni uchi kwenye hizo picha
Angalia baadhi ya post alizorusha kwenye blog yake zilizohusiana na picha hizo hapa chini
No comments:
Post a Comment
Toa ushauri wako au andika chochote hapa ... Leave your comment here