Wednesday, 17 July 2013

Picha za Askari wa Kitanzania walivyoagwa Sudan

 Capt. John Kivunge akisoma Ratiba ya shehere nzima ya kuaga miili hiyo

Wanajeshi wakitoa heshima kwa wenzao


Viongozi wa dini walipata fursa ya kuwaombea marehemu

Safari ya mwisho kurudi nyumbani ilianza hivi......

No comments:

Post a Comment

Toa ushauri wako au andika chochote hapa ... Leave your comment here