Leo Millard Ayo ameingia kwenye wodi aliyolazwa rafiki wa marehemu Gwair M 2 the P na kufanikiwa kufanya mahojiano nae. M 2 the P alikiri kupata nafuu ila alilalamika kuwa kichwa na kifua bado vinamsumbua, katika mahojiano hayo M2 the P alimuulizia Mangwea
Sikiliza mahojiano yao hapa chini
No comments:
Post a Comment
Toa ushauri wako au andika chochote hapa ... Leave your comment here