Tuesday, 25 June 2013

BARNABA awaliza watu kwenye mazishi ya mama yake, aishiwa nguvu na kupoteza fahamu ........


Barnaba akiaga mwili wa mama yake



Haikuwa rahisi kwa Barnaba kumuaga kipenzi chake


Baada ya  kuweka mchanga kaburini Barnaba aliishiwa nguvu na kupoteza fahamu kwa dakika kadhaa

Hapa akipewa huduma ya kwanza baada ya kuzinduka

Hatimaje Barnaba alipelekwa hospital kwa uchunguzi wa afya

Picha kwa hisani ya -Thisisdiamond

No comments:

Post a Comment

Toa ushauri wako au andika chochote hapa ... Leave your comment here