Baada ya show ya Mwana FA "The Finest" Kuahirishwa ijumaa iliyopita kutokana na msiba wa Abert Mangwea, aliyefariki tarehe 28/05/2013 na kuzikwa tarehe 6/7/2013 (jana) Morogoro.The Finest imetangazwa kuwa asilimia 15% ya mapato kutoka katika show hiyo, yatapelekwa kwa mama mzazi wa Ngwea. "nimesema kwamba nitoe hela mfukoni kwangu moja kwa moja, niipeleke huku, kwahiyo chochote nitakacho kipata, nataka kutoa 15% nimpelekee bi mkubwa...."amesema FA
No comments:
Post a Comment
Toa ushauri wako au andika chochote hapa ... Leave your comment here