
"Kama mtakumbuka niliahidi kutoa awamu ya pili tar 15 au 17 May na ahadi ni deni..Japo naona mbali ila Nitafanya hivyo, bado nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu Ruge na wenzake...Ile ilikuwa ni trailer tu, Movie ndio linaanza sasa .....Team Anaconda no surrender" Lady Jay Dee
No comments:
Post a Comment
Toa ushauri wako au andika chochote hapa ... Leave your comment here