
Shilole na Barnaba hivi karibuni walinaswa maeneo ya Coco Beach wakila bata lakini baada ya kuwaona mapaparazi wakizunguka kutafuta matukio, Barnaba alitimua mbio na kumuacha Shilole ambaye bila hiyana alitiririka: “Jamani mimi na Barnaba hakuna cha kututenganisha japokuwa watu wanachonga sana hata kuandikwa kwenye magazeti lakini bado tunaendelea tu, hivyo najua hakuna mtu anayeweza kututenganisha.”
Kwa hisani ya GLP
No comments:
Post a Comment
Toa ushauri wako au andika chochote hapa ... Leave your comment here