

Anaitwa kinyambe, kwa wafuatiliaji wa bongo comedy watakubali kuwa huyu jamaa kwa sasa hana mpinzani,hatumii nguvu wala halazimishi kuchekesha,ukimwona tu hata kabla hajongea lazima ucheke. kwa kufuatilia kipaji chake jaribu kufuatilia kipindi cha vituko show cha channel ten
No comments:
Post a Comment
Toa ushauri wako au andika chochote hapa ... Leave your comment here