
Yaani huku duniani kuna vituko kweli........ binafsi nashindwa kuelewa kabisaaa hili suala....... ni kwanini Wanawake wengi wanapenda watu wanaodrive magari? unajua sometimes inachekesha sana utakuta Mwanamke akitongozwa na mwanaume asiye drive inakuwa shida na mizungushano kibao, ila akitongozwa na mwanaume anayedrive aaaaaah haichuki round utaona full malovedaviiii mameseji ya mapenzi kibao mara ooog Baby I love you oooh mara Baby i miss you, mara when are going to pick me ? jamani jamani kwa nini? why? .......
No comments:
Post a Comment
Toa ushauri wako au andika chochote hapa ... Leave your comment here