Msanii aliewahi kuchukua tuzo mwaka jana kwa umahiri wake wa kuimba vizuri mziki wa taarabu, Isha Mashauzi,wiki hii kupitia u heeeeard na Gossip Cop Sudy Brown, ametuhumiwa kuiba pochi la mwenye duka maeneo ya Kariakoo, na huku ikisemekana pochi hiyo ilikuwa na mkwanja wa mauzo, shilingi 758,000.
No comments:
Post a Comment
Toa ushauri wako au andika chochote hapa ... Leave your comment here