Wednesday, 24 April 2013

Ipe maneno hii picha...

Ndani ya Bunge la Tanzania...... 
Utoro wa wabunge unaonyesha uhalisia wa nafasi zetu kwenye  mioyo yao, kwa hali hii utapata picha halisi ya thamani ya kura yako ....

Tafakari na uchukue hatua

No comments:

Post a Comment

Toa ushauri wako au andika chochote hapa ... Leave your comment here